SectionsExitNjoni Wapenzi, Tufanye Shangwe

Njoni Wapenzi, Tufanye Shangwe

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Christmas,Christmas,Christmas,EasterExit
Verse 1

Njoni, wapenzi, tufanye shangwe -

Chorus

Mwokozi Bwana, amefufuka

Verse 3

Viumbe vyote, tufanye shangwe -

Chorus

Na tufanye shangwe, twimbe aleluya,

Mwokozi Bwana, amefufuka

Verse 5

Leo mapema amefufuka -

Kaburi lake ameliacha -n

Verse 6

Walinzi wake walishtuka -

Wakawa kama wamezimia -

Verse 7

Kwa ufufuko wako, ee Bwana -

Umeturudishia uzima -n

Verse 8

Umewashinda adui zetu -

Mauti kali, pia shetani -

Verse 9

Enzi ni yako ya umilele -

Shukrani, sifa na utukufu -

Verse 10

Hii ndiyo siku iliyofanywa -

Na Mungu, nayo ni ya furaha -