SectionsExitNitembee Na Fimbo

Nitembee Na Fimbo

Ordinary TimeExit
Chorus

(Nitaimba na kumtukuza Bwana Muumba wangu, hata nizeeke. Nitembee na fimbo, nitembee na fimbo ili nimsifu Bwana Mungu wangu)*2nn(Mama Maria nakubembeleza, mama Maria unisaidie, unitetee, kwa mwanao Yesu, niishi siku nyingi ili nimsifu Bwana)*2

Verse 2

Nitalitangaza neno la Bwana Muumba wangu milele na milele mpaka nitembee na fimbon

Nitalihubiri neno la Bwana muumba wangu milele na milele mpaka nitembee na fimbon

Atukuzwe Baba Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote na milele