Nitayasimulia Matendo
Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1
Nitayasimulia matendo yako Bwana
Mungu wangu unayenipa nafasi tele
Unayejua kuishi kwangu siku zote
Mungu wangu unayenipa nafasi tele
Chorus
Ulinijua Bwana tangu ningali tumboni
Maisha yangu umepanga yangali vema
Mimi niutazame uso wako katika hakin(Na sasa) Niamkapo nishibishwe!
Nishibishwe! Nishibishwe (eeeh)
Niamkapo nishibishwe
Nishibishwe kwa sura yako
Verse 3
Umenipa uhai na hewa ya kutosha -
Mvua pia jua za kunilisha mimi -
Verse 4
Elimu maarifa yasiyo na kifani -
Niko na miguu nimejua kufanya kazi -
Verse 5
Kazi zangu zote umenipa wewe Bwana -
Ninajua wengi siyo kama mimi Bwana -
Verse 6
Kwa hayo yote sina budi kukushukusu -
Wabariki yatima pia mama wajane -