Nitawanyunyizieni Baraka
Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
{ Bwana asema, asema,
Mimi nitawanyunyizieni baraka } *2n{ Nitamkemea (nitamkemea)
Yeye ayalaye (yeye ayalaye) mazao ya ardhi yenu
Wala mzabibu wenu hautapukutika } *2
Verse 2
Leteni sadaka katika ghala yangu
Kiwemo chakula kingi ndani ya nyumba yangu
Verse 3
Mkinijaribu katika njia hii,
Nitawakemea wadudu, nitawapa baraka
Verse 4
Mataifa yote wawaiteni heri,
Maana mtakuwa nchi tena yakupendeza