Nitatoa Nini Mimi
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Nitatoa nini mimi ewe Mungu wangu,nkitakachokuwa sawa na fadhili zako,nwewe ni Bwana (wa rehema), fadhilinzako (za milele), nikupe nini (nikupe)nnikushukuru. Kama ni fedha (nazo ni zako)nhata mazao (ya mashamba) nikupe ninin(nikupe) nikushukuru
Verse 2
Mema mengi umenitendea eeh Mungunwangu, hata siwezi kukulipa, mara ngapinmimekukosea eeh Mungu wangu nanwewe ukanisamehe.
Verse 3
Usiku hata mchana wewe unanilinda,nhata hivyo sikukushukuru, umenilisha chakula ili nipate nguvu lakininsikukushukuru
Verse 4
ninajitolea kwako kimwili na kiroho,nvyote hata maisha yangu, nitaimbannikisema asante Mungu wangu, siku zotenhata milele
Verse 5
Nakutolea mkate ni mmea wa ngano,ndivai tunda la mzabibu, kwa fumbo lanmaji haya pia divai hii nishiriki umungunwako