Nitatangaza Neno
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Nitatangaza neno lake Bwana kwanmataifa mbalimbali oo
Verse 2
Na Uganda - waimbe na kumsifu Bwana
Na Wakenya - waimbe na kumsifu Bwana
Nitatangaza neno lake Bwana
Kwa makabila mbali mbali oo
Na wakamba
Na Waluhya ...
Verse 3
Nitatangaza Neno lake Bwana
Katika miji mbalimbali oo Nairobi ...
Na Mombasa