SectionsThanksgivingNitashukuru Mwenyezi

Nitashukuru Mwenyezi

Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Nitakushukuru mwenyezi nitakuhimidinnitakutukuza Ee Bwana kwa kuwa u mwema

Chorus

Nitalisifu jina lako ewe bwana nitaziimbansifa zako milele kwa kua u mweman

Verse 3

Nalipokutafuta Bwana si kudhani kwambanunaishi ndani ya watu na sio anganin

Hivyo umenifungulia shetani muongonwanielezapo ya kwamba wee Mungu haupon

Wakuaminio Eee Bwana umewapa neemanumewafanyiza watoto wa wana wa mbingun

Basi nakupa moyo wangu njoo bwana

Mwkozi jitengenezee nafasi uishi milele