Verse 1
Nitajongea meza yako ee Bwana
Bwana nipokee nakujan
Chorus
Ninakuja kwako ee Bwana (nikakupokee)
Ee Bwana kwani wewe ndiwe uzima x2
Verse 3
Chakula chenye uzima - ee Bwana
Huwashibisha wanyofu - wa moyo
Verse 4
Kinywaji chenye uzima - ee Bwana
Huwaponya wenye dhambi – ee Bwana
Verse 5
Naja sasa kwako Bwana – nipokee
Nipe neema zako Bwana – niponye