SectionsEucharistNitangoja Altare Ya Mungu

Nitangoja Altare Ya Mungu

Ordinary Time,Baptism,Baptism,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Nitajongea altare ya Mungu

Aliye raha na roho yangu

Verse 2

Asifiwe Baba Mwana na Roho,

Siku zote hata milele

Verse 3

Malishoni mwa majani mabichi,

Hunilaza nikiwa naye

Verse 4

Machoni pangu ameniandalia ,

Karamu kuu kwa watesi wangu

Verse 5

Mezani pake ameniandalia,

Karamu kuu kwa watesi wangu