Chorus
{ Nitamhimidi Bwana,
Kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu } *2
Katika Bwana nafsi yangu (nafsi yangu) itajisifun(itajisifu) wanyenyekevu wasikie wafurahi
Mtukuzeni Bwana (Bwana) pamoja namin(pamoja nami) tuliadhimishe jina lake pamoja
Bwana nafsi yangu (nafsi yangu) itajisifun(itajisifu) wanyenyekevu wasikie wafurahi
Mtukuzeni Bwana (Bwana) pamoja namin(pamoja nami) tuliadhimishe jina lake pamoja
Verse 2
Nalimtafuta Bwana akanijibu
Akaniponya na hofu zangu zote
Verse 3
Wakamwelekea wakatiwa nuru
Wala nyuso zao hazitaona haya
Verse 4
Maskini aliita Bwana akasikia
Akamuokoa na taabu zake zote