SectionsBible ProcessionNitakwenda Naye Mwokozi

Nitakwenda Naye Mwokozi

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Nitakwenda naye Mwokozi,nnipeleke injili duniani kote,

Yesu wangu nipe uwezo,nnipeleke injili duniani kote.

Mmmm duniani kote x2n

Verse 2

Wababa wote waingojea duniani kote

Wamama wote waingojea duniani kote

Watoto wote waingojea duniani kote

Verse 3

Wazee wote waingojea duniani kote

Vijana wote waingojea duniani kote

Wakristu wote waingojea duniani koten

Verse 4

Makasisi waingojea duniani kote

Watawa wote waingojea duniani kote

Wanakwaya wote waingojea duniani kote.n