Verse 1
Nitakwenda kwa shangwe nanvigelegele, niingie nyumbani kwa Bwana
Mungu wetu
Chorus
Nitacheza, nitaruka, nitaimba wimbo ulenmtamu. Baba njooni, mama njooni, tufurahinmbele za Mungu wetu x2
Verse 3
Njooni nyote wazee vijana na watoto,nmshangilieni leo nyumbani mwake Bwana
Verse 4
Nitatangaza sifa zako Mungu mwenyezi,nkwenye kusanyiko nitakuimbia wewen
Verse 5
Nitasema sante kwake Mola Rabuka,nkwa ukarimu wako usio na kifani.
Verse 6
Nitatoa shukrani zangu kwa Muumba,nnikushukuru leo kesho na daima