SectionsThanksgivingNitakutukuza Mungu

Nitakutukuza Mungu

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Kwa kinywa changu Mungu wangu nitakutukuza,nkwa nyimbo nzuri nitaziimba sifa (zako )

Kwa kuwa Mungu wema wako kwangu mimi ni mkuu siwezi kuelezean{ Sina kitu Bwana cha kukupa (wewe)nkulingana na mema uloyatenda

Naitoa kwako nafsi yangu (Bwana)nnitendee unavyotaka } *2

Verse 2

Kama ni pumzi ya uhai umenipa bure,

Sauti nzuri ya kuimbia, yatoka kwako

Nakurudishia sifa na shukrani

Verse 3

Kama ni elimu, niliyo nayo ni mali yako,

Ujuzi na kazi niliyo nayo vyatoka kwako

Nakurudishia sifa na shukrani

Verse 4

Magonjwa mengi umeniponya ee Mungu wangu,

Na ajali nyingi umenikinga ee Mungu wangu

Nakurudishia sifa na shukrani