Nitakusifu Mungu
Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
{ Nitakusifu Mungu(Mungu) Mwenyezi
Kwa mema mengi Baba unayoyatenda } *4n{ Unastahili sifa milele (Bwana)
Utukufu na sifa zako milele } *2
Verse 2
Furaha yangu ni kubwa ee Mungu kukusifu kwa nyimbo nzuri na sala
Unipe neema zako ee Mungu niongoze katika maisha yangun
Verse 3
Mbingu zahubiri utukufu Mungu wangu bila uoga wowote
Anga yaitangaza kazi ya mikono yako ee Mwenyezi uliye juu
Verse 4
Fadhili zako ni za milele na uaminifu wako haupimiki
Nitaimba zaburi yako Bwana siku zote za maisha yangu