SectionsThanksgivingNitakushukuru Kwa Moyo Wangu Wote

Nitakushukuru Kwa Moyo Wangu Wote

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{ Nitakushukuru kwa moyo wangu wote

Nitakushukuru kwa moyo wangu wote } *2nn{ Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi

Nitashukuru nikilikabili hekalu lako

Hekalu lako hekalu lako takatifu

Nitalishukuru jina lako Bwana (Bwana) *2 } *2

Verse 2

Kwa ajili ya fadhili na uaminifu wako

Wewe Bwana umeikuza ahadi yako

Kuliko jina lako na nilipokuita

Uliitika ukanifariji nafsi

Verse 3

Ee Bwana wafalme wote watakushukuru

Watakaposikia maneno ya kinywa chako

Naam wataziimba njia zako Bwana

Kwa maana utukufu wako ni mkuu