Chorus
Nitajongea mbele ya meza yako nipokee
Nitajongea mbele ya meza yako nipokeen{Roho yangu Yesu inakutamani
Ukae ndani yangu nami ndani yako
Nipate uzima wa milele} *2
Verse 2
Karibu Yesu wangu, shinda nami daima
Moyoni Mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu
Verse 3
Karibu Yesu wangu, kitulizo cha kiu
Moyoni mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu
Verse 4
Karibu Yesu wangu, kitulizo cha njaa
Moyoni mwangu, uwe na mimi
Siku zote za maisha yangu