Chorus
Nitajongea mbele ya meza (yako) nipokee *2n{ Roho yangu Yesu inakutamani
Ukae ndani yangu ndani yako
Nipate uzima wa milele } *2
Verse 2
Karibu Yesu wangu, shinda nami daiman( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
Siku zote za maisha yangu
Verse 3
Karibu Yesu wangu, kitulizo cha kiun( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
Siku zote za maisha yangu
Verse 4
, Karibu Yesu wangu, kitulizo cha njaan( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
Siku zote za maisha yangu