Chorus
Nitajongea altare yako,
Furaha yangu na heri yangu siku zote
Verse 2
Peleka mwanga wako wa uaminifu wako
Viniongoze vinipeleke kwako,nkatika hekalu lako takatifu
Verse 3
Nami nitajongea altare ya Mungu
Mungu wa furaha yangu nami nitakusifu
Moyo wangu kwani wasikitika
Verse 4
Nafsi yangu kwa nini kuinama na kufadhaika
Umtumaini Mungu, kwani yeye ndiye nguvu zako
Verse 5
Sifa kwa Baba na mwana na roho mtakatifu
Kama toka mwanzo, na sasa na milele. amina.