Chorus
Nitajisifia udhaifu wangu udhaifu wangu,nili uweza wa Kristu ukae juu yangunmaana ninapokuwa dhaifu ndipo nilipo na nguvu x2
Verse 2
Sina budi kujisifia japo kuwa haipendezi,nlakini ninajizuia nisihesabiwe hatia,nbali nasema ukweli juu ya maono niliyopata.
Verse 3
Sababu ya mafunuo hayo nalipewa mwiba mwilini,nnikamsihi Mungu wangu jambo hili liniepuke,nnaye akaniambia neema yangu pekee inatosha.
Verse 4
Napendezwa na udhaifu dharau taabu mateso,nnakuyavumilia yote hayo kwa ajili ya Kristu,nkwani uweza wa Kristu hutimia katika udhaifu.