Chorus
{ Nitaimba siku zote wa Yesu moyo mkuu
Kuliko vitu vyote nitapenda moyo huu } *2
Verse 2
Ee moyo mtakatifu wa Yesu Mungu wangu
Nakuja kukusifu kwa hizi nyimbo zangu
Verse 3
Ee Yesu msalabani kuchomwa ubavuni
Nitoke utumwani niupate uhuru
Verse 4
Naomba kitu kwako ee Yesu nisikie
Katika moyo wako ukanijalie
Verse 5
Kwa nini nikapenda furaha za dunia
Kwa nini sikuenda kwa Yesu kutulia