Chorus
Nitafurahi sana katika Bwana, maananamenivika mavazi ya wokovu Amenifunikanvazi la haki, (kama bibi arusi ajipambavyonkwa vyombo vya dhahabunvyombo vya dhahabu) x2
Verse 2
Nitafurahi sana katika Bwana, nafsinyangu itashangilia katika Mungu wangu.
Maana amenivika mavazi ya wokovu,namenivika vazi la haki, kama bibi arusinajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.n
Ee binti sayuni furahi sana, mshangilie
Mungu wako. Ee binti tega sikio lako,nmfalme atautamani uzuri wako.