Nishukuru Na Nifanye Nini
Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Nishukuru na nifanye ninin{ Nishukuru nifanye nini au nikulipe nini
Kwa mema mengi unayonipa
Mungu wangu ninashukuru } *2
Ninapolala na kuamka, wewe wanijua
Ninapokula pia kuvaa, wewe wanijuan(sasa) nishukuru nifanye nini Mungu wangu
Verse 2
Wanilinda hatarini ninapoanguka
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu
Verse 3
Kula na kulala kwangu wajua wewe
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu
Verse 4
Uliniumba mimi bila ya kujua
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu