SectionsExitNiseme Nini Basi

Niseme Nini Basi

Marian,Marian,MarianExit
Chorus

Niseme nini basinjuu ya mama yetu Marian(mama Bikira Maria)nmama mpendelevunmama mwenye neema x2n

Verse 2

Wakati wa majaribu mwombezi wetu ni

Maria (mama yetu), wakati wa mashakankimbilio letu ni mama Maria.

Verse 3

Mama uliyeumbwa pasipo dhambi yanasili (mama yetu), ukamzaa mwananmkombozi wa ulimwengu Maria.

Verse 4

Moyo wako wa heri moyo saf moyonmweupe (mama yetu), nijalie neemannishindie majaribu yote Maria.

Verse 5

Mama wa mkombozi ni mnara wetu wanmbinguni (mama yetu), mwangaza wetunsisi tunao safri gizani Maria

Verse 6

Shika mkono wangu nionyeshe njia yankweli (mama yetu), nifkishe kwa mwanaonanapoketi uwinguni Maria.