Nipishe Njia

Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Nipishe njia nipeni nafasi -

Nimuonyeshe Mungu nilivyofurahi

Nitamwimbia ngoma nitacheza -

Chorus

Natamani kuruka nifke kule nimuinue

Mungu kwa mikono yangu nimwelezenkwa kinywa changu mwenyewe kwambannimefurahi kwa upendo wake,

Bwana (nashukuru x3) tu ninashukuru kwankunipenda bila mwisho

Sina (chakusema x3) tu ninashukuru kwankunipenda bila mwisho.

Verse 3

Akaniinua kutoka shimoni -

Akaniweka juu ya kinara -n

Verse 4

Nitazunguka kwa maringo tele -

Na tabasamu lisilokauka -n

Verse 5

Nitawashika wenzangu, mikono -

Tuinue juu kwa pamoja -

Verse 6

Wenzangu si mmejionea wenyewe -

Mungu alivyomwema waajabu -n

Verse 7

Nitaandika utukufu wake -

Na wajukuu wangu wausome -