Nipe Bibilia

Ordinary TimeBible Procession
Verse 1

Nipe Bibilia

Nipe Bibilia neno nzuri la Bwana

Ndiye Bwanan

Ni neno lake Bwana - Bibilia yangu

Ni neno la uzima - Bibilia yangu

Ni neno la wokovu - Bibilia yangu

Ni neno la baraka - Bibilia yangun

Sheria za Bwana

Sheria za Bwana ahadi na upendo

Ndiyo Bibilia