SectionsThanksgivingNiongoze Vyema Maria

Niongoze Vyema Maria

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianThanksgiving
Verse 1

Nahangaika hapa duniani, maisha yangu hayana furaha

Najua wazi hapa si nyumbani, bali njia ya kupitan

Chorus

Niongoze vyema Maria, maria Mwema

Bondeni huku niliko nifike kwa usalama

Mbinguni kwa Yesu mwanao

Verse 3

Vita na shari vyote vyanisonga, mashaka mengi yaniingia

Mwili a roho havina kinga hatari imezidia

Verse 4

Mama Maria ndiwe jibu langu hapa safarini unisaidie

Unipombee kwa mwanao Yesu anikinge anilinde

Verse 5

Kwa kuwa Yesu ni Mwokozi wangu nakusihi Mama

Nakusihi sana uzifikishe kwake shida zangu anionee huruma

Verse 6

Kumbuka Mama, Yesu alisema, Mama yangu Mwema

Tazama mwanao, nawe Yohana huyu ndiye mama yako