Ninyi Nimewaita Rafiki
Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary TimeBible Procession
Chorus
Ninyi nimewaita rafiki zangu * 2
Kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu *2
Nimewaarifu
Verse 2
Ninyi ni rafiki zangu rafiki zangu
Kama mkifanya niliyosema
Verse 3
Ninyi siwaiti tena watumishi
Mtumishi hajui analofanya Bwana
Verse 4
Nimewachagua ninyi mkazae matunda
Mkazae matunda yanayodumu