Chorus
Ninaungama dhambi zangu Mwokozi,nunisamehe sitarudi tena x2
Verse 2
Enyi ndugu zangu ninaungama dhambi,nmnisamehe sitarudia tena x2n
Kwa mawazo yangu pia matendo yangu,nunisamehe sitarudia tena x2n
Nimekosa mimi nimekosa, unisamehensitarudia tena x2n
Mama Maria Bikira mwema sana,nutuombee kwake Mungu Baba x2n
Watakatifu wote na malaika, mtuombeenkwake Mungu Baba x2