Chorus
Ninakupenda ewe Mwokozi wangu,nrafki yangu mpenzi wa moyo wangu,
Ukae nami daima ndani yangu,nnipate nguvu na heri siku zote.
Verse 2
Nina kutolea mwili na roho yangu,nunipe neema zako nipate nguvu,
Nikae nikupendeze mwokozi wangu,nshetani muovu kamwe asinipate.
Verse 3
Nilinde niwe imara na mwenye nguvu,nnisitumbukie tena katika dhambi,
Unionyeshe yaliyo ya heri kweli,nnipate kuishi kwa kumpendeza Bwana
Verse 4
Nawe uliye njia kweli na uzima,nniongoze vyema daima siku zote,
Uniangazie mwanga palipo giza,nnifkishe kwake Baba kwa neema yakon
Verse 5
Nakukaribisha Bwana moyoni mwangu,nnijarie ewe Bwana baraka yako,
Hata siku ya mwisho nitakuapia,nni ile mbinguni kwenye heri milele.