Verse 1
Nina neno moyoni mwangu
Natangazia ulimwengu
Yakwamba nimeokoka
Ni kristu kaniokoa
Amen*2
Chorus
Yesu yundani yangu
Na mimi ni ndani yake
Kwahivyo kuishi kwangu
Ni kristu
Na kufa kwangu ni faida*2
Verse 3
Mtu akiwa ndani ya yesu
Amekuwa kiumbe kipya
Yakale yameshapita
Tazama ya sasa yote mapyan
Roho wa mungu ametutwika
Utukufu wa mwenye enzi
Neema yake niyakudumu
Kwa wale wameokoka
Amen*2n
Bwana yesu alijitwikandhambi zetu nazo mizigonakatufia msalabaninkwa damu yake tukaokoka