Nimtumikie Nani
Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Nimtumikie nani zaidi ya Mungu, aliyeniumba
Hakuna aliye sawa na Mungu, nimtumikie nani mimi
Pumzi ya uhai wangu, yatoka kwake, nimwogope nani mimi
Hakuna aliye sawa na Mungu, nimtumikie nani mimi
Hakuna oo tena hakuna mwingine,nnitamtumikia Mungu aliyeniumba milele
Verse 2
Naamini hakuna aliye sawa naye Mungu
Lolote apendalo yeye Mwenyezi hutimian(Tena) hakuna awezaye kumpinga akipenda
Verse 3
Naamini hakuna aliye sawa naye Mungu
Aliyeumba nchi bahari milima na wanyaman(Tena) akaniumba mwanadamu nivitawale vyote
Verse 4
Naamini hakuna aliye sawa naye Mungu
Aliyenitoa toka hutumwani mwa shetanin(Tena) akanipigania ona sasa niko huru