Chorus
[ s ] Nimrudishie nini Bwana,n[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendean[ s ] Nitamlipa nini,n[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendean[ s ] Niimbe mimi vipin[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendean[ s ] Mimi jamaan[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu
Verse 2
[ s ] Nashindwa nikulipe nini kwa mema yako
Kunilinda na maadui wote nitakupa nini Bwanan
Verse 3
Miezi miaka umenilinda Mungu wangu
Wangapi wamezikwa leo hii mimi bado niko hai
Verse 4
Ninakuomba unipe akili na maarifa
Nizishinde nguvu na mamlaka ya wakuu wa giza