Chorus
Nimezichambua hila zake shetani na kanuni zake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini
Sheria pia taratibu zake zote na maagizo yake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini
Verse 2
Uwongo na kiburi - sheria za Shetani hizo
Uzinzi na ulevi - kanuni za shetani hizo
Wivu na majivuno - sheria za Shetani hizo
Chorus
Hizo! Ndugu yangu jihadhari sana
Hii ni hatari, tupige magoti tusali sana.
Yasije yakatukumba
Verse 4
Ulaji wa rushwa -
Uvivu na uchawi -
Utovu wa nidhamu -
Verse 5
Nguo zenye kubana -
Na zile fupi fupi -
Mavazi ya kihuni -
Verse 6
Kuiba kudhulumu -
Kusengenya wengine -
Udokozi umbeya -
Verse 7
Kudharau wenzako -
Matusi na karaha -
Hirizi na tunguri -