SectionsEucharistNimewalisha Kwa Unono

Nimewalisha Kwa Unono

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Nimewalisha kwa unono wa ngano

Na kuwashibisha asali (asali)

Nimewalisha kwa unono wa ngano

Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

Verse 2

Nimewalisha kwa kiini cha ngano

Na kuwashibisha asali itokayo mwambani

Verse 3

Katika shida waliniita, waliniita

Katika shida nami nikawaokoa