SectionsExitNimevunja Mkataba

Nimevunja Mkataba

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Verse 1

Lo Kumbe ni wewe shetani umeniletea matatizo yote haya

Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu

Lo kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikamsahau Mungu

Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu

Chorus

{ Nimevunja mkataba na wewe (shetani)

Ondoka, ondoka nasema

Namkaribisha Yesu moyoni mwangu }*2

Verse 3

Lo kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikafungwa gerezani-

Lo kumbe ni wewe shetani nikaipokea rushwa-

Verse 4

Lo kumbe ni wewe shetani ulinipeleka katika nguvu za giza-

Lo kumbe ni wewe shetani uliniongoza katika njia ya dhambi-

Verse 5

Lo kumbe ni wewe shetani unakosanisha ndugu nao majirani-

Lo kumbe ni wewe shetani unasababisha vifo vinakuwa vingi