Chorus
{ Nimevipiga vita, nimevipiga vita vilivyo vizuri } *2n{ Mwendo - mwendo nimeumaliza
Mwendo - imani nimeilinda
Mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda } *2
Verse 2
Baada ya hayo nimewekewa taji,
Nimewekewa taji, taji ya ahadi
Verse 3
Sasa namiminwa, nao wakati wangu
Wa kufariki kwangu, nao umefika
Verse 4
Ataniokoa na kila neno baya
Hadi niufikie ufalme wa mbingu
Verse 5
Nami nitaishi kwake Baba milele
Tena nikimwimbia Mungu aleluya