Chorus
Nimevipiga vita,nnimevipiga vita vilivyo vizuri x2n(Mwendo – mwendo nimeumaliza mwendon– imani nimeilinda mwendo nimeumaliza,nimani nimeilinda) x2
Verse 2
Baada ya hayo nimewekewa taji,
Nimewekewa taji, taji ya ahadin
Sasa namiminwa, nao wakati wangu
Wa kufariki kwangu, nao umefikan
Ataniokoa na kila neno baya
Hadi niufikie ufalme wa mbingun
Nami nitaishi kwake Baba milele
Tena nikimwimbia Mungu aleluya