SectionsThanksgivingNimeteuliwa Na Mungu

Nimeteuliwa Na Mungu

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Nimeteuliwa na Mungu Baba nihubiri kwa kuimba*2n{ Nyimbo zinafundisha, nyimbo zaburudisha,

Nyimbo zinafariji, roho zilizovunjika } *2

Verse 2

Kila niamkapo nitamwimbia Bwana Mungu wangu

Nitaimba nyimbo za kumtukuza aliyeniumba

Verse 3

Mungu Baba Mwenyezi kaniteua mimi nihubiri

Nihubiri kwa nyimbo nyimbo za shangwe nyimbo za Mbinguni

Verse 4

Nafundisha kwa nyimbo naburudisha na ninafariji

Natangaza ufalme wa Mungu Baba kwa njia ya nyimbo

Verse 5

Sifa za Mungu Baba zimo kinywani mwangu siku zote

Mimi nitaziimba sifa za Mungu daima milele