SectionsExitNimepewa Mamlaka

Nimepewa Mamlaka

Ordinary TimeExit
Verse 1

Nimepewa mamlaka *2

Mbinguni na duniani

Nimepewa mamlaka yote *2

Verse 2

Basi enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu *2

Verse 3

Mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu

Na kuwafundisha yote niliyowaamuru

Verse 4

Na tazama mimi niko pamoja nanyi siku zote

Niko pamoja nanyi siku zote mpaka ukamilifu ukamilifu wa dahari