SectionsEntranceNimemkataa Shetani

Nimemkataa Shetani

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,BaptismEntrance
Chorus

Je je, umemkataa shetani huyo na mambo yake yote

Nimemkataa shetani na vishawishi vyake vyote

Je je, umemkataa shetani huyo na ila zake tamu

Nimemkataa shetani na mazingaombwe yake

Mtazame huyo mwovu na chengachenga zake,

Huja pole pole,mwenye stara zake,nmalaika wa mwangaza yuaja kunizuzua

Bwana ninakuomba macho nifungue,nnipate kuyajua, mema na mazuri,nya ufalme wako, niyaache ya shetani

Verse 2

Mungu kaniinua, kanitoa kwenye shimo,nalimokua yule mwovu kanitia pingu,nsasa niko huru, ninatabasabu,nnitamuinua nitasema mimi nimemkataa shetani

Verse 3

Sina hofu mimi,sina haya kumsifu,naliyeshinda vita hivyo sasa mimi mzima,nnami nitafuata,njia zake hata,nmwisho wa dahari ama kweli mimi nimemkataa shetani

Verse 4

Chenga chenga zake,n imeasi tena sana,nmajaribun hayo sina budi kuyahepa mimi,nnitaishika kweli Imani sitakubali anishinde mimi nimemkataa shetani.