Chorus
Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele
Ee Baba mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu * 2
Verse 2
Umenikomboa ee Bwana Mungu wa kweli
Ee Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu
Verse 3
Kwa sababu ya watesi wangu nimekuwa laumu
Naam hasa kwa jirani zangu
Verse 4
Na kitu cha kutisha kwa rafiki zangu
Walioniona njiani walinikimbia
Verse 5
Nimesahauliwa kama mtu asiyekumbukwa
Nimekuwa kama chombo kilichovunjika
Verse 6
Maana nimesikia masingizio ya wengi
Hofu ziko pande zote