Chorus
Nimeingia (kwako) hapa mahalinpatakatifu, unipokee (kwako) unitakasennipate neema
Verse 2
Nimeingia kwako nimeingia hapanmahali patakatifu
Verse 3
Ee Bwana mwema wewe mfadhilinsana nakuja kwako kukutukuza
Verse 4
Nakuabudu pia nakusujudu nisaidienmimi ni wako
Verse 5
Mimi Mkristu pokea sala zangunninakuomba msaada wako
Verse 6
Nihurumie kwani mimi mnyongennategemea msaada wako
Verse 7
Unipokee kwako unipokee unitakasenunipe neema