Ee Bwana mchungaji wangu,nnpopote wanifahamun
Hakuna chochote kwangu,nusikifahamu, Bwanan
Hata nikiomo mbingu,npia niende kuzimun
Mtukufu Baba,nmwana na roho mtakatifu.