SectionsPresentation of GiftsNikurudishie Nini Bwana

Nikurudishie Nini Bwana

Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Nikurudishie nini - Mungu nirudishe nini

Mema mengi umenitendea, na mazuri mbalimbalin

Sio afya (afya), sio mali (mali)

Si elimu (kweli) sio nyumba (Bwana)

Ninajiuliza kweli nirudishe nini x2

Verse 2

Kweli umenibariki katika maisha yangu,

Bwana mimi hivi nilivyo mbona nisikushukuru.

Verse 3

Tazama bomani ng'ombe, mbuzi nao kuku pia,

Wa kutaga wa kuuza, kweli nimebarikiwa.

Verse 4

Mvua inarutubisha, mimea inasitawi,

Maua ya kupendeza, aa yapendeza.

Verse 5

Watoto umenijalia, wana pia wajukuu,

Moyoni nina furaha, aa furaha tele.