Chorus
{ Nikupe Nini Bwana
Nikushukuruje Bwana kwa memayo
Maana siri yangu unaijua Mungu } *2
Verse 2
Umeniumba mimi, ukanipa akila
Ukanipa uwezo, nikufuate wewe
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu
Verse 3
Umeniponya Bwana, wakti wa maradhi
Ukanihurumia nilipotenda dhambi
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu
Verse 4
Umeniepusha Bwana, na viumbe wapotovu
Ukanipa faraja, wakati wa uchungu
Verse 5
Nimeuona wivu, kuona wapotovu
Wanavyokusahau, nawe wawapa nguvu
Wema hauna mipaka Mungu wangu