SectionsThanksgivingNikiziangalia Mbingu

Nikiziangalia Mbingu

Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{ Nikiziangalia mbingu, ni kazi ya vidole vyako

Mwezi na nyota za Mbinguni, ulizoratibisha wewe } *2

Verse 2

Naye mtu ni kitu gani, hata naye umkumbuke

Naye binadamu ni nani, hata naye umuangalie

Verse 3

Umemfanya punde mdogo ni mdogo kuliko Mungu

Umemvika taji yake, taji ya utukufu na heshima

Verse 4

Umemtawaza juu ya kazi, ni kazi ya mikono yako

Umevitia vitu vyote, chini ya miguu yako ee Bwana

Verse 5

Kondoo nao ng'ombe wote pia wanyama wa kondeni

Ndege wote wa angani na samaki wote wote baharini