Nikitazama Chini Ya Jua
Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
{ Nikitazama chini ya jua hili ulofanya Mungu,
Utukufu ni wako na sifa unastahili Mungu } * 2n{ Asubuhi na jioni, mchana hata usiku
Watu kazi mbalimbali, riziki ni tofauti
Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu} * 2
Verse 2
Majira na nyakati, kiangazi mvua hata na masika
Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu
Verse 3
Binadamu twaishi yote haya mpango wako ee Mungu
Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu