Ni Zawadi Twaleta
Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1
Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni kazi ya mikono yetu
Ni zawadi twaleta kwako ee Bwana
Pokea Baba zawadi
Chorus
Ni zawadi tunaleta upokee zawadi *2
Upokee ee Bwana upokee zawadi *2
Verse 3
Ni mazao twaleta kwa Baba . . .
Verse 4
Na ni fedha twaleta kwa Baba . . .
Verse 5
Ni mkate twaleta kwa Baba . . .
Verse 6
Ni divai twaleta kwa Baba . . .