Ni Wewe Tu
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Christmas,WeddingExit
Verse 1
Kanuni moja na lugha moja kwako we
Siku zote nitakupenda kweli ee
Ya ulimwengu hayanibadilishi we
Siku zote nitakupenda kweli ee (haya)
Chorus
Katika raha, (ni wewe) katika shida, tena ni wewe tu * 2
Ni wewe tu, ni wewe tu (tena ) ni wewe tena ni wewe tu * 2
Verse 3
Tumefinyangwa kwa tope moja sisi ee
Ni pumzi moja imetutengeneza ee
Verse 4
Ingawa ulimwengu mtamu sana ee
Sitaujali kwani wewe ni zaidi
Verse 5
Mapungufu yako nitayachukulia
Na msamaha sitakawia kukupa
Verse 6
Nitakupenda kama nilivyoagizwa
Kama Kristu alivyolipenda kanisa
Verse 7
Maisha yetu yakamtukuze Baba
Yamuinue Mwana yampambe Roho