Verse 1
Ni usiku kweupe hapa kwaninmwanga huu wa nini, kuangaza huku
Chorus
Msiche hayo mwende mbio wachunga
Ni Masiha ashukiao
Karibuni mtazameni mzaliwa
Masiha hapo pangoni
Verse 3
Twaarifu aliyelazwa chini
Mwana Mungu yakini, Mfalme Mtukufu
Verse 4
Sikieni ni malaika hao
Kweli sauti yao, huko anagani
Verse 5
Nyimbo gani zamtaja mwenye adhama
Mleta kwetu salama, mshinda shetani
Verse 6
Baadaye kila mwenye kutakata,
Wokovu ni kupata kwa rehemaye